Indexed topics
FINANCE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Capital One's Closure of 300 Trump-Linked Accounts Due to AML Assessment

Latest Tanzania finance news · Capital One's Closure of 300 Trump-Linked Accounts Due… explained · 2021 updates · updated Aug 3, 2026 · economy news · GDP · investment

TLDR

  • Machi 2025, Trump Organization pamoja na Eric Trump, mtoto wa Trump, waliifungulia Capital One kesi katika Mahakama ya Shirikisho ya Florida wakidai benki hiyo ilifunga akaunti hizo kutokana na kile walichokiita msimamo.
  • Benki ya Capital One Financial imeieleza mahakama, uamuzi wake wa kufunga zaidi ya akaunti 300 zilizokuwa zinahusishwa na Kampuni ya Trump mwaka 2021 ulitokana na tathimini ya wataalamu wa kudhibiti utakatishaji fedha.
  • Mwaka 2019, wakati wa muhula wake wa kwanza madarakani, Trump aliishtaki Capital One pamoja na Deutsche Bank akitaka kuzizuia benki hizo kutoa taarifa zake za kifedha kwa Bunge la Marekani, ambalo wakati huo lilikuwa.
  • Benki hiyo ilitoa taarifa Machi, 2021 kuhusu mpango wake wa kufunga zaidi ya akaunti 300 zilizokuwa zinahusishwa na kampuni ya Trump (Trump Organization).
  • Capital One imeieleza mahakama kuwa hati mpya ya madai iliyowasilishwa Julai mwaka huu bado ina upungufu uleule uliokuwapo katika malalamiko yaliyotangulia.

Latest news excerpts & sources: Capital One's Closure of 300 Trump-Linked Accounts Due…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.