Indexed topics
EDUCATION 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Campaign to Raise 1 Billion Shillings for Tosamaganga Secondary School Infrastructure Improvement

Latest Tanzania education news · Campaign to Raise 1 Billion Shillings for Tosamaganga S… explained · updated Aug 3, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Tunazindua rasmi maandalizi ya Jubilee ya Miaka 100 ya Shule ya Sekondari Tosamaganga, taasisi iliyoanzishwa mwaka 1926 na ambayo kwa kipindi cha karne moja imeendelea kuwa nguzo ya elimu bora, maadili na uongozi nchini.
  • Akizungumza kwa niaba ya wahitimu wa zamani, Edward Nzalalila, aliyesoma Tosamaganga kati ya mwaka 1968 na 1971, alisema Jubilee hiyo ni fursa ya kurejesha shukrani kwa taasisi iliyowajenga viongozi na wataalamu wengi.
  • Shule hiyo ilianzishwa mwaka 1926 chini ya Misheni ya Kanisa Katoliki kabla ya baadaye kuingia chini ya usimamizi wa serikali, Tosamaganga imeendelea kujijengea sifa ya kuwa miongoni mwa shule zilizozalisha viongozi.
  • IRINGA: Shule ya Sekondari Tosamaganga imezindua kampeni ya kukusanya Sh bilioni moja kwa ajili ya kuboresha miundombinu yake na kununua basi jipya la wanafunzi, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 100.
  • Tunataka basi litakalobeba historia ya miaka 100 ya Tosamaganga.

Latest news excerpts & sources: Campaign to Raise 1 Billion Shillings for Tosamaganga S…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.