Naibu Waziri Ndege ameshiriki kufunga mkutano mkubwa wa Injili mji mdogo wa Gallapo Wilayani Babati, kwa kuwaasa waumini na viongozi wa dini kuombea amani Taifa na kumuombea afya njema Rais Samia Suluhu Hassan ili aweze kuendelea kuingoza vyema Tanzania.