Bruno Guimaraes Leads Arsenal Midfield in Aerial Duels
Latest Tanzania sports news · Bruno Guimaraes Leads Arsenal Midfield in Aerial Duels explained · updated Aug 10, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- LONDON, Uingereza MABINGWA wa Ligi Kuu ya England (EPL) msimu wa 2025-26, Arsenal, wameimarisha safu yao ya kiungo kwa kumsajili Bruno Guimaraes kutoka Newcastle United, usajili uliogharimu Pauni milioni 75.
- Msimu uliopita (2025-26), Guimaraes akiwa Newcastle alicheza dakika 2,455 kutokana na majeraha, akizidiwa na Rice na Zubimendi waliocheza dakika zaidi ya 3,000 kila mmoja.
- Ukija katika eneo la asisti (pasi za mabao), Guimaraes alimaliza msimu akiwa na tano, sawa na Rice, ambapo hata hivyo aliwazidi Merino (3) na Zubimendi (1).
- Zubimendi, nyota wa zamani wa Real Sociedad, licha ya kuwa mchezaji aliyeongoza kwa upande wa Arsenal, alishinda mipira ya juu mara 151.
- Rafu 75, tofauti na 55 za viungo wote wa Arsenal.