Bipolar Disorder Misunderstood by Society
Latest Tanzania health news · Bipolar Disorder Misunderstood by Society explained · updated Aug 13, 2026 · health news · hospitals · public health
TLDR
- Hii ni sawa na kusema kuwa mtu mmoja kati ya 200 duniani anaishi na ugonjwa wa bipolar .
- Tovuti ya masuala ya afya ya Mayo Clinic inabainisha kuwa karibu asilimia 80 ya wagonjwa wa bipolar huirithi kutoka kwa baba au kwa mama na huweza kuonekana zaidi baada ya kupitia matukio ya mshtuko wa kihisia (trauma).
- Tunasema mgonjwa wa bipolar haponi isipokuwa kupitia sessions angalau kuanzia 20 na kuendelea…dawa husaidia kumuweka sawa na kumsaidia kujitambua,” anasema Dk Mwanjala.