Bandari Tanzania Promoted to Championship League After Finishing First in Group A
Latest Tanzania sports news · Bandari Tanzania Promoted to Championship League After… explained · updated Aug 12, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- KOCHA mzoefu nchini Habib Kondo ametangazwa rasmi kuwa kuwa Kocha Mkuu wa Bandari Tanzania akitarajiwa kukiongoza kikosi hicho kwenye Ligi ya Championship inayotarajiwa kuanza baadaye mwezi huu.
- Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imesema Kondo, aliyewahi kuzifundisha klabu nyingi za Ligi Kuu kama Mtibwa Sugar, Majimaji na KMC amepewa jukumu hilo mara baada ya timu hiyo kupanda ikitokea 'first league', akichukua.