Assad's Resignation Following Economic Challenges and Protests in Syria
Latest Tanzania politics news · Assad's Resignation Following Economic Challenges and P… explained · updated Aug 12, 2026 · politics news · government · policy
TLDR
- DAMASCUS, Syria WAKATI hali ya utulivu ikiwa haijatengamaa, Syria iliingia katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2021 na Assad kushinda kwa muhula wake wa nne madarakani.
- Nje ya ushindi wake kupingwa, moja ya changamoto zilizomkabili Assad ni hali mbaya ya kiuchumi kwa raia wa Syria.
- Safari hii, Syria ya Assad ilipaswa kujipambania yenyewe (bila msaada wa Hezbollah wala Urusi) katika maandamano makubwa ya raia waliochoshwa na utawala wake waliamini umekosa suluhisho la changamoto zao.
- Hatua hiyo ilipokelewa kwa shangwe na raia wa Syria walioingia barabarani kusherehekea anguko la Assad na huo ukawa mwisho wa safari yake katika kiti cha urais wa Syria.