Indexed topics
POLITICS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Assad's Blame on Foreign Influence for 2011 Protests

Latest Tanzania politics news · Assad's Blame on Foreign Influence for 2011 Protests explained · updated Aug 12, 2026 · politics news · government · policy

TLDR

  • Kutokana na uhusiano mbaya kati yake na Marekani na Israel, Assad alilaumu mataifa ya nje baada ya kuibuka kwa maandamano makubwa ya raia nchini Syria mwaka 2011.
  • Assad alisisitiza mara kadhaa kupitia hotuba zake, kwamba Syria haiwezi kuwa rafiki wa Israel hadi pale Taifa hilo litakaporesha ardhi yake iliyochukua tangu mwaka 1967.
  • Kufikia mwishoni mwa mwaka 2012, tayari watu zaidi ya 60,000 walishapotea maisha, huku Assad akisisitiza kuwa hawezi kukaa mezani na waasi kwani ni ‘maadui wa Mungu’ na ‘vibaraka wa mataifa ya Magharibi’.
  • Wakati hali ikiwa imetulia kwa kiasi kidogo, Assad aligombea tena kiti cha urais na kushinda awamu yake ya tatu katika Uchaguzi wa mwaka 2014.
  • Lakini, tatizo jipya kwa Serikali ya Assad likawa ni ujio wa kundi jipya la kigaidi, Islamic State (IS), ambalo mwaka 2015 lilifanikiwa kuteka Mji wa Idlib wa Kaskazini na maeneo mengine ya Mashariki mwa Syria.

Latest news excerpts & sources: Assad's Blame on Foreign Influence for 2011 Protests

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.