Asili Dairy's Educational Campaign on Milk Consumption for Pregnant Women and Students
Latest Tanzania health news · Asili Dairy's Educational Campaign on Milk Consumption… explained · updated Aug 8, 2026 · health news · hospitals · public health
TLDR
- Arusha .Kampuni ya watengenezaji na wauzaji wa maziwa ya Asili Dairy iliyopo Njiro Arusha imetumia maonesho ya Nanenane kutoa elimu kuhusu umuhimu wa unywaji wa maziwa kwa makundi mbalimbali ya jamii, ikiwemo wanawake.