Arsenal to Face Real Betis in Friendly Match
Latest Tanzania sports news · Arsenal to Face Real Betis in Friendly Match explained · updated Aug 5, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- Jumatano ya leo, bingwa mtetezi wa ligi kuu ya Uingereza, Arsenal atakipiga dhidi ya Real Betis kutoka kule Hispania ambayo ni timu ya daraja la kati.
- Huku Betis wao wanahitaji kujaribu wachezaji wapya na kujiweka imara tayari kwaajili ya msimu mpya huku nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet wakiwapewa Arsenal kutokana na ubora wa wachezaji ambao wanao.