Indexed topics
SPORTS 2 excerpts · 2 articles · 2 outlets

Arsenal Revives Talks with Newcastle United for Bruno Guimaraes

Latest Tanzania sports news · Arsenal Revives Talks with Newcastle United for Bruno G… explained · updated Aug 4, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Tangu alipojiunga na Newcastle akitokea Lyon Januari 2022, amecheza mechi 153 za Ligi Kuu England na kuwa mmoja wa viungo muhimu zaidi wa klabu hiyo.
  • Bruno Guimaraes Arsenal imehuisha upya mazungumzo na Newcastle United ili kumnasa kiungo wa kimataifa wa Brazil, Bruno Guimaraes (28).
  • Ingawa ada rasmi haijakubaliwa, taarifa zinaeleza kuwa Newcastle wanatarajia kupokea zaidi ya pauni milioni 70 ili kumuuza kiungo huyo.Awali Newcastle walikuwa na msimamo wa kutomuuza Guimarães, lakini sasa viongozi wa.
  • Wilson Isidor Sunderland imegoma kumuuza mshambuliaji raia wa Haiti, Wilson Isidor (25), msimu huu wa kiangazi licha ya West Ham United kuonyesha nia.
  • ARSENAL inaonekana kuwa katika nafasi nzuri ya kumsajili kiungo wa Brazil, Bruno Guimarães, kutoka Newcastle United kufuatia taarifa za kuondoka kwa kocha Eddie Howe, kwa mujibu wa ESPN.

Latest news excerpts & sources: Arsenal Revives Talks with Newcastle United for Bruno G…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.