Dkt. Mwinyi amempongeza Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Ndg. Abdi Mahmoud Abdi, kwa uteuzi wake na kumtaka kutekeleza majukumu yake kwa bidii, huku akiahidi kumpatia ushirikiano zaidi.
Rais Dkt. Mwinyi amempongeza Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Ndg. Abdi Mahmoud Abdi, kwa uteuzi wake katika wadhifa huo na kumtaka kuendelea kufanya kazi kwa bidii katika kutekeleza majukumu yake.