Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Ahmed Ally Confirms Challenges in Signing Selemani Mwalimu

Latest Tanzania sports news · Ahmed Ally Confirms Challenges in Signing Selemani Mwal… explained · updated Aug 8, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Tazama Kikosi Kamili Cha Simba SC Msimu wa 2026/27 Mbali na Mwalimu, Mabingwa hawa wa Kombe la Shirikisho la CRDB wametambulisha majina ya wachezaji watakaovaa jezi ya Wekundu wa Msimbazi msimu huu: Makipa.
  • Kurejea kwa Selemani Mwalimu kunatajwa kuwa silaha kubwa katika safu ya ushambuliaji ya Simba SC, inayojiandaa kusaka mataji ya Ligi Kuu Tanzania Bara na kufanya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions.
  • Ahmed Ally Athibitisha Mambo Yote Kukiwaka Akizungumza baada ya kutambulishwa kwa kikosi kitakachopambana msimu ujao, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, alisema mchakato wa kumpata Mwalimu.
  • Lakini kwa juhudi na ukukazania wa viongozi wetu, tumefanikiwa kumpata Mwalimu na hivi sasa yupo angani akirejea nchini kujiunga na familia ya Simba,” alisema Ahmed Ally.
  • DAR ES SALAAM, Tanzania — Klabu ya Simba SC imekamilisha rasmi mchakato wa usajili wa mshambuliaji wao hatari, Selemani Mwalimu, akitokea miamba ya soka nchini Morocco, Wydad AC.

Latest news excerpts & sources: Ahmed Ally Confirms Challenges in Signing Selemani Mwal…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.