Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

Agreement for Neo Maema's Loan Extension with Mamelodi Sundowns

Latest Tanzania sports news · Agreement for Neo Maema's Loan Extension with Mamelodi… explained · updated Aug 7, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Mashabiki wa Simba wanatarajia kumuona Maema akitambulishwa rasmi kesho, Jumamosi, Agosti 8, 2026, katika tamasha kubwa la kilele cha Simba Day litakolofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
  • Maema, ambaye mkataba wake wa awali wa mkopo kutoka Mamelodi Sundowns ulikuwa umemalizika, amerejea klabuni hapo baada ya viongozi wa pande zote mbili kufikia makubaliano ya pamoja pamoja na mchezaji mwenyewe.
  • Uongozi wa Simba SC umefanya jitihada kubwa kuhakikisha kiungo huyo fundi anasalia Msimbazi kwa kuingia mazungumzo mapya na mabosi wa Mamelodi Sundowns, ambapo taarifa za ndani zinaeleza kuwa wamefanikiwa kumuongeza kwa.

Latest news excerpts & sources: Agreement for Neo Maema's Loan Extension with Mamelodi…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.