WANAFUNZI 85 wanatarajia kwenda kusoma katika vyuo mbalimbali nchini India kuanzia wiki ijayo kupitia Wakala wa Elimu Nje ya Nchi Global Education Link (GEL).