573 Students in Pwani Fail to Report to School Due to Economic Hardship and Teenage Pregnancies
Latest Tanzania education news · 573 Students in Pwani Fail to Report to School Due to E… explained · updated Aug 6, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, amesema hayo leo, Agosti 5, 2026, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi yake mjini Kibaha, akieleza matokeo ya oparesheni iliyofanywa na Jeshi hilo mwezi.
- Wanafunzi 573 kutoka shule za msingi na sekondari katika maeneo mbalimbali mkoani Pwani wamebainika kutoripoti shuleni baada ya kufunguliwa kwa shule kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo ujauzito wa utotoni, hali duni.