Indexed topics
PUBLIC ADMIN 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

45% Progress on New Bukoba Council Offices Construction

Latest Tanzania public admin news · 45% Progress on New Bukoba Council Offices Construction explained · updated Aug 4, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Katika ziara hiyo, Waziri amekagua miradi mitatu yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 23.8, ikiwemo ujenzi wa Stendi ya Mabasi ya Kyakailabwa, Soko Kuu la Bukoba pamoja na ofisi mpya za Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba.
  • Kwa upande wa Soko Kuu la Bukoba, Mhandisi Mwambungu amesema ujenzi umefikia asilimia 50 ya utekelezaji, huku mradi huo ukiwa sehemu ya miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 18 inayotekelezwa katika eneo hilo na.
  • Waziri huyo pia amekagua ujenzi wa Ofisi mpya za Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba zenye thamani ya Sh bilioni 5.8.

Latest news excerpts & sources: 45% Progress on New Bukoba Council Offices Construction

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.