39.59% Decrease in TTCL Online Fraud Cases
Latest Tanzania technology news · 39.59% Decrease in TTCL Online Fraud Cases explained · updated Aug 12, 2026 · tech news · innovation · digital
TLDR
- Licha ya kuwa na idadi kubwa zaidi, Yas ilipunguza idadi ya matukio hayo kutoka 2,659 yaliyo rekodiwa miezi mitatu iliyopita hadi matukio 2,306, TTCL inafuata ikiwa na matukio 2,039, sawa na asilimia 27.8, huku Vodacom.
- TTCL ilirekodi punguzo kubwa zaidi kwa asilimia, kutoka matukio 3,375 hadi 2,039, sawa na asilimia 39.59, kwa upande wa Vodacom matukio yalipungua kwa asilimia 27.56, huku Airtel matukio yakipungua kwa asilimia 24.73.