Indexed topics
LAW JUSTICE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

38 Court Cases Scheduled for Hearing in Mbeya

Latest Tanzania law justice news · 38 Court Cases Scheduled for Hearing in Mbeya explained · 2026 updates · updated Aug 4, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Na MUKSINI NAKUVAMBA – Mahakama, Mbeya Mahakama ya Rufani ya Tanzania inayoketi Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Mbeya imeanza kuendesha Kikao chake cha kusikiliza mashauri 38 ya rufaa za madai na jinai ambacho kimeanza.
  • Bernad Mpepo alisema kuwa, jumla ya mashauri 38 ya rufaa za madai na jinai yamepangwa kusikilizwa katika Masjala Ndogo ya Mbeya ikiwa rufaa za madai ni 27 na rufaa za jinai 11.
  • Akiwasilisha taarifa katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Mahakama Kuu Mbeya, ambacho ni kikao cha maandalizi ya uendeshaji wa kikao hicho (Pre- Session Meeting), Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya.
  • Kikao hicho kilihudhuriwa pia na Viongozi wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Mbeya akiwemo Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Mbeya Mhe.
  • Fahamu Mtulya, Jaji wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Mbeya Mhe.

Latest news excerpts & sources: 38 Court Cases Scheduled for Hearing in Mbeya

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.