38 Appeals to be Heard by Tanzania's Court of Appeal in Sumbawanga from August 3 to 28, 2026
Latest Tanzania law justice news · 38 Appeals to be Heard by Tanzania's Court of Appeal in… explained · 2026 updates · updated Aug 3, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Kikao hicho kinatarajiwa kusikiliza jumla ya mashauri 38 ya jinai na madai, ambayo yanatoka katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sumbawanga, Katavi, Mbeya, Mpanda na Songea, huku usikilizwaji wake ukifanyika katika Mahakama.
- Na SHARIFU MOKIWA-Mahakama, Sumbawanga Majaji watatu wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania wamewasili mkoani Rukwa kwa ajili ya kusikiliza mashauri ya rufaa katika Kikao cha Mahakama ya Rufani kinachotarajiwa kufanyika.
- Majaji hao wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania walipokelewa mjini Sumbawanga na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Sumbawanga Mhe.
- Mazengo alisema kuwa, kufanyika kwa kikao hicho Sumbawanga ni sehemu ya jitihada za Mahakama ya Tanzania kuboresha huduma za kimahakama kwa kuwafikishia wananchi huduma hizo kwa urahisi zaidi, pamoja na kupunguza mzigo.
- Lucia Kairo, (aliyevalia kitenge) walipopokelewa baada ya kuwasili mjini Sumbawanga.Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania, Mhe.