Indexed topics
LAW JUSTICE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

238.6 Kilograms of Cocaine Seized by Liberian Police in June 2026

Latest Tanzania law justice news · 238.6 Kilograms of Cocaine Seized by Liberian Police in… explained · 2026 updates · updated Aug 4, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Juni 8, 2026, polisi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert mjini Harbel, Kusini-Mashariki mwa Monrovia, walikamata kilo 237.6 za cocaine zenye thamani ya Dola milioni 19.2.
  • UKUBWA WA TATIZO Ripoti ya Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya Liberia (LDEA) inaonesha kuwa watu 1,167 walikamatwa (wakisafirisha dawa za kulevya) kuanzia Septemba, 2025, hadi Juni, 2026.
  • Aidha, takwimu za LDEA zinaonesha kuwa kiwango cha bangi zilizokamatwa kimeongezeka mara mbili, kutoka kilo 80.15 mwaka 2025 hadi kilo 166.88 mwaka 2026.
  • Wiki chache baadaye, polisi walivamia jengo moja mjini Duazon na kubaini tani nne za cocaine, kiwango kikubwa zaidi cha dawa za kulevya kuwahi kukamatwa na Serikali nchini humo.

Latest news excerpts & sources: 238.6 Kilograms of Cocaine Seized by Liberian Police in…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.