Bei za mafuta zinazotumika nchini kuanzia Jumatano, Agosti 5, 2026 zimeshuka kwa shilingi 92 kwa lita ya petroli, shilingi 204 kwa lita ya dizeli na shilingi 440 kwa lita ya mafuta ya taa, hali ambayo itawapa unafuu wa gharama za maisha kwa wananchi, wamiliki wa vyombo vya usafiri, mitambo na viwanda.
Bei ya dizeli imepungua kwa Shilingi 204 kwa lita.