Nimefurahishwa kuona vijana wakiwa kwenye mabanda ya teknolojia za kilimo na mifugo wakitoa elimu, hii inaonesha namna vijana wakitanzania wametambua fursa ya kujiajiri kwenye sekta ya kilimo, hasa ukizingatia ajira rasmi zimepungua duniani.
Hata hivyo Mhe.Makalla amekiri kufurahishwa na uwepo wa vijana wengi kwenye mabanda ya waoneshaji hususani kwenye maeneo ya teknolojia, vijana ambao wanatoa elimu ya kilimo na mifugo jambo ambalo linaonesha utayari wa vijana wa kitanzania kujiajiri.
.jpg)