Naye Mhe. Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe. Judith Kapinga(Mb) ameishukuru kamati hiyo na kuahidi kuyafanyia kazi maelekezo na ushauri uliotolewa na kamati hiyo ili kuendelea kurahisisha utendaji kazi wa TBS.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameishukuru kamati hiyo na kuahidi kufanyia kazi maelekezo na ushauri uliotolewa na kamati.