Indexed topics
POLITICS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

US Influence on Venezuela's ICC Withdrawal

Latest Tanzania politics news · US Influence on Venezuela's ICC Withdrawal explained · updated Aug 3, 2026 · politics news · government · policy

TLDR

  • Kama itakumbukwa, uhusiano wa ICC na Venezuela uliyumba zaidi Januari, 2025, baada ya Mahakama hiyo kufunga ofisi yake nchini humo.
  • Desemba, 2025, ndipo Bunge la Venezuela lilipopiga kura ya kuanza mchakato wa kujitoa katika Mahakama hiyo, hatua iliyotafsiriwa kuwalinda viongozi wa Serikali dhidi ya mashitaka ya ICC.
  • Uchunguzi wa ICC dhidi ya Venezuela ulianza mwaka 2021.
  • CARACAS, Venezuela SIKU chache zilizopita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela, Felix Plasencia, alitangaza uamuzi wa nchi hiyo kuondosha uanachama wake katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).

Latest news excerpts & sources: US Influence on Venezuela's ICC Withdrawal

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.