Indexed topics
EDUCATION 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

UNESCO Reports Girls in Afghanistan Face Unique Barriers to Education

Latest Tanzania education news · UNESCO Reports Girls in Afghanistan Face Unique Barrier… explained · updated Aug 12, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Aidha, UNESCO imeonya kuwa huenda idadi ya watoto wa kike wanaozuiwa kuingia sekondari ikafikia milioni nne ifikapo mwaka 2030.
  • NEW YORK, Marekani SHIRIKA la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limeeleza katika ripoti yake kuwa wasichana takribani milioni 2.4 nchini Afghanistan wamenyimwa haki ya kupata elimu ya sekondari.
  • Kwa mujibu wa UNESCO, kizingiti hicho kwa watoto wa kike ni tangu Kundi la Taliban liliporejea madarakani mwaka 2021.
  • Afghanistan ni nchi pekee duniani ambayo wanawake na watoto wa kike wanazuiwa kwenda sekondari na elimu ya juu,” amesema Mratibu wa Programu za Elimu na Dharura wa UNESCO, Hoda Jaberian.

Latest news excerpts & sources: UNESCO Reports Girls in Afghanistan Face Unique Barrier…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.