Indexed topics
SPORTS 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

UEFA Threat to Boycott FIFA Competitions Over Investment Plan

Latest Tanzania sports news · UEFA Threat to Boycott FIFA Competitions Over Investmen… explained · updated Aug 5, 2026 · sports news · match · score

TLDR

  • Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA), likiwakilisha nchi wanachama 55, lilitishia kususia mashindano yote ya FIFA iwapo pendekezo hilo lingetekelezwa.
  • Grafström aliwahimiza wafanyakazi kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi na kuendelea kuhudumia vyama wanachama 211 vya FIFA bila kuyumbishwa na mazingira ya kisiasa yaliyojitokeza.
  • Mkuu wa Maendeleo ya Soka Duniani wa FIFA, Arsène Wenger, amesema uamuzi wa kufuta mpango wa kuruhusu wawekezaji binafsi kununua hisa katika mashindano ya FIFA ulikuwa wa lazima na usio na mjadala.
  • Rais wa FIFA, Gianni Infantino, alikuwa amependekeza kuanzishwa kwa kampuni ya kibiashara ambayo ingeendesha mashindano makubwa ya FIFA, ikiwemo Kombe la Dunia, huku wawekezaji wa nje wakipewa nafasi ya kununua hisa.
  • Kupitia taarifa iliyotolewa na FIFA, Wenger alisema hakushiriki katika maandalizi ya mpango huo na alifahamu kuhusu pendekezo hilo kupitia taarifa za vyombo vya habari.

Latest news excerpts & sources: UEFA Threat to Boycott FIFA Competitions Over Investmen…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.