Indexed topics
TELECOM 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

TTCL's Commitment to Providing Internet Services Post Nane Nane

Latest Tanzania telecom news · TTCL's Commitment to Providing Internet Services Post N… explained · updated Aug 8, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeeleza kuwa ofa ya vifaa vya intaneti iliyokuwa ikitolewa wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nane Nane itaendelea hata baada ya maonesho hayo kumalizika.
  • Kwa mujibu wa Ngalima, maonesho ya Nane Nane yalikuwa fursa muhimu kwa TTCL kuwafikia wananchi na kuwapatia taarifa kuhusu huduma mbalimbali za mawasiliano zinazotolewa na shirika hilo.
  • Tunawashukuru wananchi wote kwa kutembelea banda letu katika maonesho haya ya Nane Nane.
  • Hatua hiyo inalenga kuhakikisha wananchi wanaendelea kupata fursa ya kutumia huduma za intaneti na vifaa vya mawasiliano hata baada ya kumalizika kwa Maonesho ya Nane Nane.

Latest news excerpts & sources: TTCL's Commitment to Providing Internet Services Post N…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.