Meneja wa PSSSF Kanda ya Kusini, Bw. Jafari Merai Mgala, amesema mafanikio ya utoaji wa huduma kwa haraka na kwa ufanisi yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na maboresho ya mifumo ya TEHAMA.
Meneja wa PSSSF Kanda ya Kusini, Jafari Mgala, amesema mafanikio ya utoaji wa huduma kwa haraka na kwa ufanisi yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na maboresho ya mifumo ya TEHAMA.
