Tanzania Invited to Host the 2028 Africa Bee Expo
Outlets: fullshangweblog.co.tz, michuzi.co.tz
Supporting excerpts & sources
Na Mwandishi Wetu.TAASISI ya Maonesho ya Ufugaji wa Nyuki barani Afrika ya Africa Bee Expo, imeialika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Tano ya Ufugaji wa Nyuki Afrika yatakayofanyika mwaka 2028 na kujumuisha wafugaji wa nyuki kutoka nchi 50.Mwaliko huo umetolewa Juni 4, 2026 na Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Bw. Fatah Ben Chouia wa Algeria, alipokutana na kuzungumza na Balozi wa Tanzania nchini Algeria Mobhare
michuzi.co.tz βTaasisi ya Maonesho ya Ufugaji wa Nyuki barani Afrika ya Africa Bee Expo, imeialika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mwenyeji wa Maonesho yaβ¦
fullshangweblog.co.tz β