Simba SC Celebrates 90 Years with Plans for Future Success
Latest Tanzania sports news · Simba SC Celebrates 90 Years with Plans for Future Succ… explained · updated Aug 8, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- Kauli hiyo imekuja wakati Simba ikitimiza miaka 90 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1936, huku leo ikitarajiwa kuadhimisha tukio hilo kupitia tamasha la Simba Day litakalofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
- Katika kilele cha tamasha hilo, Simba itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Police FC ya Kenya, huku tukio hilo likitumika pia kuwa sehemu ya maandalizi ya kikosi hicho kuelekea msimu mpya wa 2026/27.
- RAIS wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, amesema anaamini klabu hiyo inaweza kufanya makubwa zaidi katika soka la Afrika katika miaka ijayo kuliko ilivyowahi kufanya katika historia yake ya miaka 90.
- Kwa Simba, maadhimisho ya miaka 90 si kumbukumbu ya historia pekee, bali pia ni mwanzo wa safari mpya yenye lengo la kuifanya klabu hiyo kuandika ukurasa mwingine mkubwa katika soka la Afrika.