Indexed topics
FINANCE 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

SELF Microfinance Fund Provides Over 400 Billion Shillings in Loans to Beneficiaries

Latest Tanzania finance news · SELF Microfinance Fund Provides Over 400 Billion Shilli… explained · updated Aug 6, 2026 · economy news · GDP · investment

TLDR

  • Na Asha Mwakyonde, DODOMA Mfuko wa SELF Microfinance Fund (SELF MF),umewataka vijana, wajasiriamali, wakulima, wafugaji na wafanyakazi wa taasisi mbalimbali kutumia fursa za mikopo zinazotolewa na mfuko huo ili.
  • Ameongeza kuwa SELF Microfinance Fund inaunga mkono juhudi za matumizi ya nishati safi kwa kufadhili shughuli na biashara zinazochangia utunzaji wa mazingira, huku ikisaidia wananchi kushiriki katika mnyororo mzima wa.
  • Mbali na mikopo, SELF Microfinance Fund pia hutoa elimu ya fedha inayowasaidia wananchi kupanga uwekezaji, kukuza mitaji, kutumia mikopo kwa ufanisi na kuepuka madeni yasiyo ya lazima.
  • SELF Microfinance Fund imewataka wananchi kutembelea banda lao katika Maonesho ya Nanenane ili kupata elimu, ushauri na kufahamu fursa mbalimbali za mikopo na huduma nyingine zinazotolewa kwa ajili ya kukuza uchumi na.

Latest news excerpts & sources: SELF Microfinance Fund Provides Over 400 Billion Shilli…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.