The Ministry said registration is important to ensure that owners and operators comply with legal, technical and security requirements governing the operation of ICT infrastructure.
Serikali imewataka wamiliki na waendeshaji wa miundombinu muhimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) kukamilisha usajili wake kabla ya Desemba 19, 2026, ikieleza kuwa hatua hiyo ni kuilinda dhidi ya mashambulizi ya mtandao, hitilafu na majanga.