Fedha zitakazopatikana kupitia mnada huo zitaelekezwa katika kuunga mkono jitihada za kukuza matumizi ya nishati safi ya kupikia, kupunguza utegemezi wa nishati zinazochangia ukataji wa misitu na hivyo kusaidia uhifadhi wa mazingira na bioanuwai.