President Samia Suluhu Hassan receives gifts during her visit to Stone Town, Zanzibar on August 10, 2026
Latest Tanzania culture news · President Samia Suluhu Hassan receives gifts during her… explained · 2026 updates · updated Aug 10, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Samia Suluhu Hassan akizungumza wananchi Mji Mkongwe (Stone Town) katika eneo la Jaws Corner, Zanzibar, tarehe 10 Agosti, 2026.
- Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na vijana wa Makachu pembezoni mwa bustani ya Forodhani, Zanzibar tarehe 10 Agosti, 2026.
- Samia Suluhu Hassan akicheza mchezo wa bao na Bibi Hadia Farhan baada ya kuwasalimia wananchi wa Mji Mkongwe (Stone Town) katika eneo la Jaws Corner, Zanzibar, tarehe 10 Agosti, 2026.
- Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi wakati akipita kwenye mitaa mbalimbali ya Mji Mkongwe (Stone Town), Zanzibar, tarehe 10 Agosti, 2026.
- Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya mfano wa Mlango wa Zanzibar (Zanzibar door) baada ya kuwasalimia wazee wa Mji Mkongwe (Stone Town), Zanzibar, tarehe 10 Agosti, 2026.