Potential for 274 Million People to Face Food Shortages Due to El Niño
Latest Tanzania food dining news · Potential for 274 Million People to Face Food Shortages… explained · updated Aug 5, 2026 · breaking news · latest updates · explained
TLDR
- Shirika hilo la Umoja wa Mataifa limesema kuna uwezekano wa asilimia 81 wa kutokea kwa El Niño yenye nguvu kubwa, huku halijoto ya bahari ikiwa katika viwango vya juu zaidi kuwahi kushuhudiwa tangu mwaka wa 1982.
- Imesema kama hali hiyo itaendelea, El Niño ya mwaka huu inaweza kuwa yenye nguvu zaidi kuwahi kushuhudiwa tangu mwaka wa 1950.El Niño ni hali ya ongezeko la joto la uso wa Bahari inayojitokeza mara kwa mara na kubadili.