Moises Caicedo Expresses Desire for Enzo Fernandez to Stay at Chelsea
Habari mpya za michezo Tanzania · maelezo ya Moises Caicedo Expresses Desire for Enzo Fernandez to S… · imesasishwa 4 Aug 2026 · habari za michezo · mechi · matokeo
Muhtasari
- LONDON, Uingereza KIUNGO wa Chelsea, Moises Caicedo, amekiri kuwa hatamani kuona staa mwenzake, Enzo Fernandez, akiondoka klabuni hapo kama inavyoelezwa na vyombo vya habari.
- Namkubali sana Enzo,” amesema Caicedo na kuongeza: “Namuheshimu kwa sababu sote tunajua ni mchezaji wa aina gani.