Israel's Conditions for Troop Withdrawal from Gaza
Latest Tanzania politics news · Israel's Conditions for Troop Withdrawal from Gaza explained · updated Aug 10, 2026 · politics news · government · policy
TLDR
- JERUSALEM, Israel WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema wamkataa ombi la Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu mgogoro wa Gaza.
- Licha ya kusema wamekataa ombi la Trump, Netanyahu amesisitiza kuwa Israel haitojitoa katika meza ya mazungumzo na Marekani katika kusaka suluhu ya mgogoro huo wa Gaza.