Dkt. Seif amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kuwekeza katika miradi ya maendeleo yenye tija na manufaa kwa wananchi, hususan katika kuimarisha utoaji wa huduma bora za kijamii kupitia ujenzi wa miundombinu imara ya barabara, afya ya msingi na elimu ya msingi.
Dkt. Jafar Seif, amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kuwekeza katika miradi ya maendeleo yenye tija na manufaa kwa wananchi, hususan katika kuimarisha utoaji wa huduma bora za kijamii kupitia ujenzi wa miundombinu imara ya barabara, afya ya msingi na elimu ya msingi.