Mada zilizoorodheshwa
PUBLIC ADMIN 2 nukuu · 2 makala · 2 vyanzo

Implementation of PSSSF's 'Tunalipa Jana' Initiative Demonstrated at Agricultural Show

Habari mpya za public admin Tanzania · maelezo ya Implementation of PSSSF's 'Tunalipa Jana' Initiative De… · imesasishwa 6 Aug 2026 · habari mpya · masasisho · maelezo

Muhtasari

  • Deus Sangu (MB) (Mwenye Suti) akiwasili kwenye Banda la PSSSF ndani ya maonesho ya Kilimo (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi, Agosti 5, 2026.
  • Sangu ameyasema hayo Agosti 5, 2026, alipotembelea banda la PSSSF katika Maonesho ya Kilimo (Nanenane) Kanda ya Kusini yanayoendelea katika Viwanja vya Ngongo, Manispaa ya Lindi, ambapo alizungumza na wanachama.
  • Deus Sangu, amesema kaulimbiu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) ya “Tunalipa Jana” si kauli tu, bali inatekelezwa kwa vitendo na imeonyesha ukwasi wa Mfuko huo kupitia ulipaji wa mafao kwa.

Nukuu za habari mpya na vyanzo: Implementation of PSSSF's 'Tunalipa Jana' Initiative De…

Uliza chochote kuhusu mada hii — mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.