Mada zilizoorodheshwa
TRANSPORT Apr 1, 2026 6 nukuu ยท 3 makala ยท 3 vyanzo

Government's Commitment to Aviation Infrastructure Development

Vyanzo: bongo5.com, mwananchi.co.tz, thechanzo.com

Maelezo na vyanzo

The government is currently completing the construction of several airports, including Msalato International Airport in Dodoma, and upgrading facilities in Mwanza, Iringa, and Mpanda.
thechanzo.com โ†—
Serikali imeendelea kupiga hatua katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo, ambapo hadi kufikia Machi 2026 jumla ya shilingi trilioni 1.319 tayari zimetolewa kwa ajili ya miradi iliyoidhinishwa katika mwaka wa fedha 2025/2026.
bongo5.com โ†—
Ulega alibainisha kuwa ujenzi wa madaraja muhimu ikiwemo Pangani, Jangwani, Mbambe, Sukuma, Simiyu, Mirumba na Mitomoni unaendelea katika hatua mbalimbali za utekelezaji.
mwananchi.co.tz โ†—
Kwa upande wa viwanja vya ndege, alisema kuwa awamu ya kwanza ya uboreshaji wa viwanja vya ndege vya Tabora na Iringa imekamilika.
huku ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Msalato ukiwa umefikia asilimia 83.
Pia, amewataka makandarasi wote wanaotekeleza miradi ya Serikali kutimiza wajibu wao kwa mujibu wa mikataba waliyoingia ikiwa ni pamoja na kuwalipa watoa huduma walioshiriki kwenye utekelezaji wa mradi husika.
Uliza chochote kuhusu mada hii โ€” mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.