Aidha, katika kusisitiza uchakataji wa mazao, alisema kuwa Serikali itaendela kuweka mkazo mkubwa katika kuongeza thamani ya mazao ndani ya nchi ili nchi iondokane na mfumo wa kuzalisha mazao na kuyauza bila kuyachakata.
Aidha, katika kusisitiza uchakataji wa mazao, alisema kuwa Serikali itaendela kuweka mkazo mkubwa katika kuongeza thamani ya mazao ndani ya nchi ili nchi iondokane na mfumo wa kuzalisha mazao na kuyauza bila kuyachakata, hatua ambayo itasaidia kuongeza ajira, mapato kwa wananchi na mapato ya Serikali.