Amesema e-GA imeungana na Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) kuanzisha Mfumo wa Usimamizi wa Mbolea (Fertilizer Information System – FIS), unaowezesha usajili wa wazalishaji, waagizaji na wasambazaji wa mbolea pamoja na ufuatiliaji wa bei elekezi ili kuhakikisha mbolea inawafikia wakulima kwa wakati na kwa gharama zinazokubalika.
She added that eGA has also developed the Fertilizer Information System (FIS) in collaboration with the Tanzania Fertilizer Regulatory Authority (TFRA) to monitor fertilizer manufacturers, importers and distributors, while ensuring compliance with indicative prices.