Chadema's Expulsion of Said Issa Mohammed for Legal Violations
Outlets: mwananchi.co.tz
Supporting excerpts & sources
Kamati tendaji ya Kanda ya Pemba imeazimia kumfukuza uanachama kuanzia Juni 6, 2026.
mwananchi.co.tz βAmesema bado anajiona mwanachama halali wa Chadema kwa kuwa hakuitwa kujibu tuhuma wala kupewa nafasi ya kujitetea.
mwananchi.co.tz βSaid Issa aliyevuliwa rasmi uanachama Juni 6, 2026, amesema hakuna kikao halali kilichofanyika kabla ya kufikiwa kwa uamuzi huo, wala hajawahi kupewa wito au barua ya kutakiwa kujieleza kuhusu tuhuma zilizokuwa zikimkabili.
mwananchi.co.tz β.jpg)