Mada zilizoorodheshwa
POLITICS Jun 9, 2026 3 nukuu Β· 3 makala Β· 1 vyanzo

Chadema's Expulsion of Said Issa Mohammed for Legal Violations

Vyanzo: mwananchi.co.tz

Maelezo na vyanzo

Kamati tendaji ya Kanda ya Pemba imeazimia kumfukuza uanachama kuanzia Juni 6, 2026.
mwananchi.co.tz β†—
Amesema bado anajiona mwanachama halali wa Chadema kwa kuwa hakuitwa kujibu tuhuma wala kupewa nafasi ya kujitetea.
mwananchi.co.tz β†—
Said Issa aliyevuliwa rasmi uanachama Juni 6, 2026, amesema hakuna kikao halali kilichofanyika kabla ya kufikiwa kwa uamuzi huo, wala hajawahi kupewa wito au barua ya kutakiwa kujieleza kuhusu tuhuma zilizokuwa zikimkabili.
mwananchi.co.tz β†—
Uliza chochote kuhusu mada hii β€” mfululizo, athari, wahusika, au uhusiano na Tanzania.