Barcelona's Push for Harry Kane to Fill Robert Lewandowski's Gap
Latest Tanzania sports news · Barcelona's Push for Harry Kane to Fill Robert Lewandow… explained · updated Aug 11, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- Kane (33), anatarajiwa kurejea Ujerumani wiki hii baada ya mapumziko ya fainali za Kombe la Dunia zilizomalizika Julai 19, 2026.
- MUNICH, Ujerumani KLABU mbili za Barcelona na Tottenham zimeingia kwenye vita ya kuiwania saini ya mpachikaji mabao hatari wa Bayern Munich, Harry Kane.
- Barcelona wameendelea kuishinikiza Bayern imwachie, ikiamini Muingereza huyo atafaa kuziba pengo la Robert Lewandowski aliyeondoka.