Assad's Promises to Modernize Syrian Economy and Promote Democracy
Latest Tanzania politics news · Assad's Promises to Modernize Syrian Economy and Promot… explained · updated Aug 12, 2026 · politics news · government · policy
TLDR
- Tuanzie hapa; Assad alizaliwa Septemba 11,1965 akiwa mtoto wa pili wa kiume baada ya kaka yake aitwaye Basil.
- Baba yake alipofariki Juni, 2000, baada ya kuiongoza Syria kwa miaka zaidi ya 20, Assad aliingia Ikulu akiungwa mkono na jeshi, Chama tawala cha Baath, na jamii yake ya Alawite.
- Hata hivyo, Basil aliyeonekana kuwa mrithi wa baba alifariki kwa ajali ya gari mwaka 1994, hivyo Assad akarejeshwa Syria ili kuandaliwa kwa ajili ya kiti cha urais.
- Aliporudi Syria, Assad aliingia katika Chuo cha Jeshi mjini Homs, ambapo alipanda vyeo na hatimaye kuwa kanali mwaka1999 na Katibu Mkuu wa Chama chake cha Baath.