Agreement for Arsenal to Sign Bruno Guimarães from Newcastle United for £75 Million
Latest Tanzania sports news · Agreement for Arsenal to Sign Bruno Guimarães from Newc… explained · updated Aug 6, 2026 · sports news · match · score
TLDR
- MABINGWA wa Ligi Kuu England, Arsenal wamefikia makubaliano na Newcastle United ya kumsajili kiungo na nahodha wa klabu hiyo, Bruno Guimarães, kwa ada ya pauni milioni 75.
- Kwa mujibu wa taarifa hizo, Guimarães amepewa ruhusa ya kusafiri kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya kukamilisha uhamisho wake kuelekea uwanja wa Emirates.Inaelezwa kuwa kiungo huyo mwenye umri wa miaka 28.