During the preparatory programme, he said, the Russian government would cover 80 per cent of the costs, while the Samia Scholarship Extended programme would meet the remaining 20 per cent.
Ameeleza kuwa wakati wa programu hiyo ya maandalizi, Serikali ya Urusi itagharamia asilimia 80 ya gharama, huku asilimia 20 ikigharamiwa kupitia mpango wa Samia Scholarship Extended.