Indexed topics
MINING 1 excerpts · 1 articles · 1 outlets

40.4% Increase in Value of Minerals Produced in 2025/2026

Latest Tanzania mining news · 40.4% Increase in Value of Minerals Produced in 2025/20… explained · 2026 updates · updated Aug 10, 2026 · breaking news · latest updates · explained

TLDR

  • Lekashingo ametoa wito huo leo, Agosti 10, 2026, jijini Dodoma, wakati wa kikao cha Kamisheni ya Tume ya Madini kilichopokea na kujadili taarifa za utekelezaji wa majukumu ya Tume, pamoja na kuweka mikakati ya.
  • Lekashingo ameipongeza Menejimenti na watendaji wa Tume ya Madini kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika mwaka wa fedha 2025/2026, hususan katika ukusanyaji wa maduhuli, ambapo Tume ilikusanya shilingi trilioni.
  • Awali, Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo, akieleza mafanikio ya Tume kwa mwaka wa fedha 2025/2026, amesema thamani ya madini yaliyozalishwa na kuuzwa ilifikia shilingi trilioni 22.11.
  • Ameeleza mafanikio ya Tume kwa mwaka wa fedha 2025/2026, amesema thamani ya madini yaliyozalishwa na kuuzwa ilifikia shilingi trilioni 22.11, ikilinganishwa na shilingi trilioni 15.75 katika mwaka wa fedha 2024/2025.

Latest news excerpts & sources: 40.4% Increase in Value of Minerals Produced in 2025/20…

Ask anything about this topic — timeline, impact, actors, or Tanzania connections.